Mahunda Jr
Member
- Apr 5, 2020
- 76
- 108
Itakuaje ikiwa sio wangu na ntakuwa nimepoteza gharama zangu zaid, na itakuwaje kama baba yake yupo kwel kama mama yake anavosema siku akija kumdai mtoto kila mtu atanigeuka kwakuwa nimeshaambiwa sio wangu nikakaza fuvuIvi embu jiulize utakapopima ukaambiwa sio wako utafanyaje?
Mimi sioni hata haja kupima, maana umemkubali na kumlea toka uchanga wake kwa Imani kuwa mwanao na Damu Yako. Huyo mwanamke asikutoe endelea tu na jukumu Hilo jema ulilolianzisha. Ikibidi Fanya kama uliyemuokota jalalani.
La msingi wamleee, ikifika wakati muafaka, chukua mtoto wako.
Wewe umeshasaidia watoto wangapi kujizolea hizo baraka. Ama ni mtoto wa ex wa mtoa mada tu ndo amebeba hizo baraka. Akikutwisha huo mzigo wewe utaubeba kupata hizo baraka?Sijui kwanini naamini baraka zako zipo kwa mtoto. Nasemaje endelea kutoa huduma mpaka utapohakikishiwa malezi mazuri
Utakubali kaka yako alee mtoto sio wake. Huku akiambiwa na mzaz mwenzake mtoto hamhusuUsikaache muhudumie jaman hatakama siyo wako kweli [emoji24]
Na ipo sababu pia ya huyo mwanamke kwanini atamke maneno hayo. Ashapewa tahadhari na Mungu aloshasema tuishi nao kwa akili. Sasa yeye ashupaze shingo aingie mkenge. Mungu hana huruma na wajingaGharama ya DNA ni Wastani wa 150,000.....!
All in all kila kinachotokea Kwa Binadamu kina sababu.
Ipo sababu Kwa Nini umeachana na huyo Mwanamke.....!
Pia ipo sababu Kwa Nini umeletewa huyo Mtoto na Mungu ili Umtunze...!