Msaada kuhusu kupata wafadhili wa elimu (sponsors) pamoja na scholarships

Lukumboy

Member
Feb 5, 2017
28
6
Naomba wanajukwa mnisaidie namna ya kupata scholarship na sponsorship.
Vitu gani vinatakiwa na mchakato wenyewe ukoje?
 
Naomba wanajukwa mnisaidie namna ya kupata scholarship na sponsorship.
Vitu gani vinatakiwa na mchakato wenyewe ukoje?
mkuu hili jukwaa halina wadau wengi ihamishie mada kwenye jukwaa la siasa, kama hautaweza iandike upya hiyo mada kwenye jukwaa la siasa.
 
Naomba wanajukwa mnisaidie namna ya kupata scholarship na sponsorship.
Vitu gani vinatakiwa na mchakato wenyewe ukoje?

Nafasi zipo nyingi mfano angalia website ya TCU na wizara ya elimu ila lazima uwe na Div I 'A' level kama huna nenda vyuo vya hapahapa bongo. Pili masomo ya science PCM PCB PGM.
 
Back
Top Bottom