CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari za asubuhi wapendwa..
Naomba kujuzwa utaratibu wa kununua gari Zanzibar na kulileta Bara....
Nasikia bei ya Zanzibar ni rahisi ukilinganisha na ya Bara, ila kuna kulipia ushuru...
Je utaratibu ni upi????
Shukran
Hakuna unafuu kivile kwani ukiileta Bara utalipia tofauti ya kodi .
Yaani tuseme labda Altezza kodi ya Zanzibar ni 1.5Mil, na ya bara ni 4.6Mil, utahitajika kulipia 3.1Mil Kwa Bara bila kujali kama Zanzibar imekaa muda gani.
So kama una uwezo vuta kitu from Japan direct.

usiropoke uslolijuaaaaa :horn: kutoa gari zanzibar kuleta dar ni rahisi kulivyo unavyofikiria, na km isingekua hvyo basi watu wasingenunua gari kutoka zanzibar wakaleta dar

Kwanini zanzibar iwe nafuu na Tanzania bara iwe ghali,lakini si kasevi 1.5 kwa kuangalia mfano wako juu
usiropoke uslolijuaaaaa :horn: kutoa gari zanzibar kuleta dar ni rahisi kulivyo unavyofikiria, na km isingekua hvyo basi watu wasingenunua gari kutoka zanzibar wakaleta dar
Ahsante kwa ufafanuziYeah,
Wana-assume uchumi wa Zanzibar uko chini.
Pia Kama Ye kanunulia Zanzibar ni Kweli kasevu hiyo 1.5 maana inabebwa na Dealer wa Zanzibar. Sema sasa Zanzibar wapendelea zaidi kutoa gari Dubai instead of Japan.
Sasa si utwambie basi badala ya kujibu kiurahisi tu,bado tupo kizaniusiropoke uslolijuaaaaa :horn: kutoa gari zanzibar kuleta dar ni rahisi kulivyo unavyofikiria, na km isingekua hvyo basi watu wasingenunua gari kutoka zanzibar wakaleta dar
Wee ndio ucropoke uclolijua,kodi iko pale pale na gharama nyingine kama kusave utasave pesa kidogo sana
Habari za asubuhi wapendwa..
Naomba kujuzwa utaratibu wa kununua gari Zanzibar na kulileta Bara....
Nasikia bei ya Zanzibar ni rahisi ukilinganisha na ya Bara, ila kuna kulipia ushuru...
Je utaratibu ni upi????
Shukran
Utalipia tofauti ya kodi kiukweli hakuna unafuu ni maumivu tu...ni bora utoe japan moja kwa moja quality ya magari kutoka znz si nzuri
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Taratibu ni za kawaida tu.Sawa mkuu, na utaratibu wa kununua gari Japan ukoje?