Habari wadau...nilikuwa naomba kuuliza hivi ni hatua zipi za kufata kwa mtu anayetaka kujiunga na jeshi la tanzania,na kuna tofauti gani kati ya jkt &jwtz?...please nisaidieni.
Kwa utaratibu uliyopo sasa kama unataka kujiunga jeshi unaanzia kwanza jkt afu mambo mengine yatafuata.,
Na pia jwtz ina kamandi kuu tatu anga,maji na nchi kavu japo kuna mda mwingine huwa jkt inaisabiwa kama ni kamandi iliyopo chini ya jwtz