Msaada kuhusu kozi za Open University of Tanzania

StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
3,679
3,719
Kwema ndugu zangu?.Naomba msaada wa kujua ni kozi ipi ya ualimu ngazi ya Diploma inanifaa kwa matokeo yangu haya ya O LEVEL:

DIVISION I point 14, Physics(B), Chemistry(A), Maths(B).

A LEVEL:physics(S), Chemistry(E), Maths (D)-DIVISION III point 15. Nahitaji kujua gharama za kozi hiyo kwa miaka yote kwa pamoja plus facilities zote zinazohitajika!

Natanguliza shukrani
 
Kwema ndugu zangu?.Naomba msaada wa kujua ni kozi ipi ya ualimu ngazi ya Diploma inanifaa kwa matokeo yangu haya ya O LEVEL:

DIVISION I point 14,Physics(B),Chemistry(A),Maths(B).
A LEVEL:physics(S),Chemistry(E),Maths(D)-DIVISION III point 15.Nahitaji kujua gharama za kozi hiyo kwa miaka yote kwa pamoja plus facilities zote zinazohitajika!.Natanguliza shukrani
Inabidi usome foundation programme, hakuna kozi ya ualimu ngazi ya diploma OUT ukitoa Diploma in primary Teacher ambayo inachukua kwa walimu walio kazini pekee.

Njoo PM nikupe namba zangu tuwasiliane vizuri nikusaidie mkuu.
 
Back
Top Bottom