Msaada kuhusu kozi ya IT

Msaada kuhusu kozi ya IT

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,441
Bonjour,

Nilisoma HGL. Naweza kusoma Diploma ya IT?

Na kama inawezekana chuo gani kizuri Kwa field hiyo Kwa hapa Dar.

Je, katika IT ni specialize kwenye mambo yapi at least Kuna soko la ajira na kujisajili.

Mimi niliwaza kama Field ya Networking is good.
 
Utadanganywa sana bwana mdogo wapo watakaokwambia nenda UCC, wengine KIU wengine mama ngoma (KITM) n.k ni miyeyusho tupu.

Utaishia kuwa mwalimu wa VTC za hovyohovyo uliza madogo wa NIT wanaomaliza bachelor's zao pale wanaishia wapi 😝😝

Kajifunze ufundi wowote ule VETA haki ya Mungu hutojutia bwana mdogo Veta + mavyeti ya form four mazuri au six ni bingo sana
 
Back
Top Bottom