willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,083
- 1,326
Umeapply kozi gani ? Degree, diploma au chet??Wanajamii forum kwa anajua kinachoendelea nacte naomba anisaidie kunipa muongozo mpaka sasa sijachaguliwa na sijui hali inavyoendelea
Umeapply kozi gani ? Degree, diploma au chet??Wanajamii forum kwa anajua kinachoendelea nacte naomba anisaidie kunipa muongozo mpaka sasa sijachaguliwa na sijui hali inavyoendelea
Usisahau mathVigezo unatakiwa uwe na C mbili za Biology na Chemistry na D ya Physics.
Nimeapply bachelor degreeUmeapply kozi gani ? Degree, diploma au chet??
Current utapata cha private mkuuWanajamii forum kwa anajua kinachoendelea nacte naomba anisaidie kunipa muongozo mpaka sasa sijachaguliwa na sijui hali inavyoendelea
Yan una degree unataka ukasomee diploma tena??? Kwanini usiende mastaz ya degree yako??habari zenu wakuu wa education forum..
nimemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza ya IT ila ninapenda kujiunga na masomo ya clinical officer.. mwenye taarifa ya vigezo vinavyohitajika anisaidie tafadhali.. advance nilisoma PGM
mtaalam wa vyuo nakuona the legend sodoka mtu wa watunenda nacte ukaombe chuo uunge mwaka huu usome .....afya ajira ipo wazi kabisa
Umeomba lini??Wanajamii forum kwa anajua kinachoendelea nacte naomba anisaidie kunipa muongozo mpaka sasa sijachaguliwa na sijui hali inavyoendelea
mkuu ndo maana sijafanya maamuzi kabla kupata mawazo ya wakubwa wenzangu.. em nadokeze kidogo ugumu mnaopata huko niweze kufanya maamuzi sahihi..!Binafsi nilisoma Healthcare,nakushauri usonge mbele na masters,fursa zipo kama upo competent,altenative Fanya masomo yatakayokupa professionalism,i.e.masomo ya IT yanayoweza kukutofautisha.Swala la MTU una degree alafu unarudi diploma haliingii kichwani!
hamna shida mkuu we njoo usome tu IT haina matatizo.. ila uwe na kichwa kizuri kwenye kumeza code.. yaan programming languages zote.. kwangu nimependa tu kuhamia afya japo sio haraka haraka mpaka nichanganue mawazo ya wakuu kwanza!Naomba nimuulize mtoa thread umeshawishika nn kusoma diploma afya wakati umemaliza degree naomba nidokeze maana nilikuwa nataka kusoma IT au unaongeza CV tu????
Tangu mwez wa sitaUmeomba lini??
Umeapply kozi gani ? Degree, diploma au chet??