Utaanza kusoma certificate of clinical officer lakini ni mwakani now application wamefunganina chem-D bio-D physics-C geo-B math-A english-C civ-D kisw-C
nilimaliza mwaka 2010 form four
Vigezo unatakiwa uwe na C mbili za Biology na Chemistry na D ya Physics.naomba nifahamu kidogo.. kwann inakuwa certificate na siyo diploma!
Diploma lazima use na C,chemistry, C,biology na D,physics na zaidi but unaweza soma certificate miaka miwili then unaunga diploma mwaka mmojanaomba nifahamu kidogo.. kwann inakuwa certificate na siyo diploma!
Soma Afya hutojuta mkuuOk thanks bro!
kaka nikurekebishe kidogo hakuna certfcate in clinical officer,ila kuna cert in clinical medicine.Utaanza kusoma certificate of clinical officer lakini ni mwakani now application wamefunga
ila maelekezo mengine ni sawa mkuu au una nyongeza kidogo unipe mwanga!kaka nikurekebishe kidogo hakuna certfcate in clinical officer,ila kuna cert in clinical medicine.
clinical officer ni cheo kutoka ktk diploma na clinical assistant ni cheo kimetoka ktk certfcate
cha kukushauri fanya mpango uende nacte ukawaombe wakupangie vyuo vyenye nafasi usisubiri udahili wa mwakani cz utapoteza muda bure.ila maelekezo mengine ni sawa mkuu au una nyongeza kidogo unipe mwanga!
Kwanini usitafute ajira??habari zenu wakuu wa education forum..
nimemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza ya IT ila ninapenda kujiunga na masomo ya clinical officer.. mwenye taarifa ya vigezo vinavyohitajika anisaidie tafadhali.. advance nilisoma PGM
mbona watu wenye degree za civil wamekaa kitaa miaka mitatu kisha wakaamua kusoma hiz mambo ..usimshangae huyu wa ITSiamini unachotaka kufanya, una degree ya IT then unataka kurudi kukimbizana na vidiploma tena