sodium pentathol
Member
- Jan 8, 2023
- 11
- 13
Habarini wanajamii forum,, nilikuwa nahitaji msaada kufahamishwa kuhusu kozi tajwa hapo juu ya accountant with it,,maana ndo niliyoipata
kuhusu upatikanaji wake wa ajira au kwa kujiajiri binafsi ,, uwanja wake wa kufanyia kazi utafanya kazi kama nani vingine ,, nipo karibuni kuanza chuo first year,, ahsanteni