jaribu ku google
wakuu msaada mwenye kujua frequency za kiss fm kwa mkoa wa njombe...naombeni ushirikiano wenu
Hii radio nafikiri imekufa, Dar ilikuwa inashika 89.3, lakini frequency hiyo sasa inasikika radio moja inaitwa Free Africa!
Free Africa na Kiss FM ni wapo kampuni moja, wamebdilishana frequency ulipokua unapata RFA kwa sasa wapo Kiss FM, hiyo ni kwa Dar.
nakumbuka enzi za Joaquim Munga Lugulu (jml), John Kalani, Dj Malis, Dj Jeff Jerry, Dee Seven, Bushbaby, binti wa kiganda it was the best radio station
Ok mm sisikilizagi kwa maana vipindi vyao hawaendi na wakati, nafikiri ni vile wako Mwanza😱

Wewe ni kichwa nazi