Msaada kuhusu kipimo cha Colonoscopy

Msaada kuhusu kipimo cha Colonoscopy

falcon Q

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2023
Posts
1,197
Reaction score
3,004
Wakuu habari za weekend.

Naomba maelezo kwa huduma ya kipimo cha Colonoscopy kama ifuatavyo

1. Hospital gani hutoa huduma hii kwa hapa dar es salaam hosp binafsi au umma
2. Bei zake zikoje
3. Huchukua muda gani kupata majibu

Muwe na weekend njema
 
TMJ wapo vizuri, wana vipimo vizuri. Niliqndikiwa hicho kipimo nikala kona mapema sana.
Ulikuwa huumwi wewe. falcon Q majibu unapata hapo hapo kwa sababu ni darubini ya kuangalia tatizo lilipo ndani. Ila mara nyingine wanaweza kuchukuwa ''sample'' eg maji maji ya eneo husika kucheki zaidi mambo kama kansa. Hapo jibu litachukuwa muda wa hata wiki kadhaa lakini inategemea na uharaka wa hospital husika
 
Ningekuwa siumwi nisijgeenda hospital mkuu¡
 
Mkuu nimetumia neno ''ulikuwa huumwi'' kama msisitizo tu yaani kuonyesha kuwa ungekuwa umebanwa hasa usingekula kona. Najua kuna hospital wanapenda kuandika vipimo bila kuwa na sababu kubwa yaani ni kama kupiga fedha tu... hivyo naposikia mtu anasema hivyo huwa naelewa. Lakini kma umebebwa mzobezobe, emergecy mh... tena utaona kama unachelewa.
 
Lilikuwa tatizo la miaka mingi, toka 2003 hivi nilikuwa na maumivi yasiyoisha upande aa kulia wa tumbo(lower abdominal pain), nilienda sehemu nyingi tu na hata miaka fulani nikiwa nje ya bongo nilipimwa, ila kila nikitajiwa colonoscopy nakula kona.

Hapa nasema Mungu ni mwema, maumivu yaliisha yenyewe, kuna nyakati hata kuambiwa nina colon cancer na madaktari wa mtaani.
 
"Maumivu yaliisha yenyewe " mhmm huwa unacheki afya mara kwa mara?
 
Niliendelea kutumia dawa mkuu, na maumivu yaliisha bila kufanya hivyo vipimo vikubwa. Ingekuwa cancer kwa miaka 23 ningekuwa nimekufa na kusahauliwa kabisa.
Basi inawezekana haikua saratani
 
Hapana ila nafahamu hiyo huduma utaipata hapo
Taarifa njema aksante mkuu
Ulikuwa huumwi wewe. falcon Q majibu unapata hapo hapo kwa sababu ni darubini ya kuangalia tatizo lilipo ndani. Ila mara nyingine wanaweza kuchukuwa ''sample'' eg maji maji ya eneo husika kucheki zaidi mambo kama kansa. Hapo jibu litachukuwa muda wa hata wiki kadhaa lakini inategemea na uharaka wa hospital husika
Shukrani sana mkuu
 
Back
Top Bottom