MSAADA KUHUSU JOINING INSTRUCTION YA UDOM

Vipi wadau,, naomba msaada ivi udom imetoa joining instruction kwa wale wa degree? na kama tayari nitaipataje?
Bado hawajatoa ila usijari watatoa soon jins ya kuipata unaingia www.udom.ac.tz af utaingia sehem ya ARIS utalog in kwa namba yako ya form four na passwrd itakuwa sure name (kwa herufi kubwa) then utaipata admission letter yako ikiwa na jina lako na degree programme uliyochaguliwa na college pia pamoja na maelezo yote
 
1475010650882.jpg
 
Sorry mkuu hiyo ni sure name au sur name?
 
Back
Top Bottom