Msaada kuhusu interview kwa upande wa Human Resource

Msaada kuhusu interview kwa upande wa Human Resource

mzuri homy

Member
Joined
May 24, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Naombeni jamani mnidokeze maswali ambayo anawezwa akauliza human resource kwa upande wa intervew ya kuandika. kwani ni mara yangu ya kwanza kuitwa kwa intervew na sina idea.. asanteni.
 
Kikubwa hapo ujue huyo hr ni nani na kazi zake,lakini hyo ni general,ila kikubwa kama ni ya kuandka huwa maswal ya kupima uelewa wa mtu sn ni maswali madogo dogo ya uelewa wako sanasana.
 
Back
Top Bottom