shaqoor-hussein
Member
- Oct 10, 2020
- 16
- 1
Uandishi wako mkuu una changamoto. Ila kuweka hayo kando, Computing & Communication Technology ni fani ambazo zina upana mkubwa kupita kiasi. Hardware, Software, Databases, Data transmission, Telecommunications, Data Encryption, Programming... Kila kitu kinaingia chini ya hizo fani na kila kitu ni kipana zaidi.Wakuu mm nmeapply chuo kwenda kusomea computing and communication technology so nahitaj msaada wa kuiyelewa it nahitaj kujifunza ndan ya hii app ya jamii forum ilinikifik chuo niwe na jielewa wa kutosha msaada juu ya hili wakuu
Nilikuwa nahitaj kuanza kujifunza kupitia kwa wenzang coz kuna vitu nataka niitengenez lkn vinahitaj elimu na pia kuna vitu kama java,programming natak nijifunze kupitia humuUandishi wako mkuu una changamoto. Ila kuweka hayo kando, Computing & Communication Technology ni fani ambazo zina upana mkubwa kupita kiasi. Hardware, Software, Databases, Data transmission, Telecommunications, Data Encryption, Programming... Kila kitu kinaingia chini ya hizo fani na kila kitu ni kipana zaidi. Unabidi uende moja kwa moja kwenye maada ni nini unahitaji kukijua. Unahitaji kujua kuhusu hiyo kozi, ningeshauri kuwasiliana na aidha watu waliomaliza au wanaosoma katika chuo husika au uongozi wa chuo moja kwa moja. Au kama unahitaji kujua kitu fulani katika hizo fani basi ukiseme moja kwa moja kwani ni fani pana sana hizo
Ni vitu gani unataka kutengeneza?Nilikuwa nahitaj kuanza kujifunza kupitia kwa wenzang coz kuna vitu nataka niitengenez lkn vinahitaj elimu na pia kuna vitu kama java,programming natak nijifunze kupitia humu
Nataka niitengenez application games na vingin ving so nahitaj kujifunza kuhus programmingNi vitu gani unataka kutengeneza?
Anza kwa kupitia huu uzi, naamini utakusaidia kwa kiasi fulani.Nataka niitengenez application games na vingin ving so nahitaj kujifunza kuhus programming
Sawa lkn natak kujua kuhuc javaAnza kwa kupitia huu uzi, naamini utakusaidia kwa kiasi fulani.
--
Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps
Ndio na nmeshamaliza kila kitukazi kweli kweli.
unataka uianze kozi yako hapa hapa jamiiforum? kwanza ushaconfirm?
www.tutorialpoint.com pitia hapoNataka niitengenez application games na vingin ving so nahitaj kujifunza kuhus programming
Unaposikia mtu anakwambia nenda kadownload "app"
Hiyo app ni software inayotengenezwa kwa kutumia programming language
Java ni mojawapo ya programming language
Software za java zinaundwa na kitu kinachoitwa class, objects, methods nk
Mfano wa program ya java ni huu
public class HelloWord{
public static void main(String [] args){
System.out.println("My first program");
}
}
Kwa maelezo zaidi kuhusu nilichoandika hapo juu, nenda kampigie kura Tundu Lissu halafu urudi hapa nikumwagie nondo fo free.
public class HelloWord{
public static void main(String [] args){
System.out.println("My first program");
}
}
Umeimport package ya util.scanner kwasababu uliihitaji kuja kuitumia hapo kwenye Scanner input. Sasa huo mfano nilioutumia sikuhitaji Scanner ili ni uotput neno Helloword. Nice try Rookie.Hapa umetupoteza haman system java inayo run bila ku import package
Java:public class HelloWord{ public static void main(String [] args){ System.out.println("My first program"); } }
View attachment 1597734
huu ni mfano wa java bila package
View attachment 1597737hii ni uki add package
sureUmeimport package ya util.scanner kwasababu uliihitaji kuja kuitumia hapo kwenye Scanner input. Sasa huo mfano nilioutumia sikuhitaji Scanner ili ni uotput neno Helloword. Nice try Rookie.
Maan ya programmingShaqoor hiyo passion uliyonayo itunze itakusaidia sana kwenye hii kozi.
Unataka kujua nini kuhusu java?
I mean mm cjui kabisa kuhuc java na umuhim wak na activity zakShaqoor hiyo passion uliyonayo itunze itakusaidia sana kwenye hii kozi.
Unataka kujua nini kuhusu java?
Mmmh mkuu kwan kumsaidia mtu mpaka malipoUnaposikia mtu anakwambia nenda kadownload "app"
Hiyo app ni software inayotengenezwa kwa kutumia programming language
Java ni mojawapo ya programming language
Software za java zinaundwa na kitu kinachoitwa class, objects, methods nk
Mfano wa program ya java ni huu
public class HelloWord{
public static void main(String [] args){
System.out.println("My first program");
}
}
Kwa maelezo zaidi kuhusu nilichoandika hapo juu, nenda kampigie kura Tundu Lissu halafu urudi hapa nikumwagie nondo fo free.
Hii unalipia siowww.tutorialpoint.com pitia hapo