Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,629 Reaction score 5,262 Sep 25, 2015 #1 Habari za majukumu wanajamvi, Napenda kufahamishwa je hizi simu tajwa hapo juu inatumia laini moja yani tigo peke yake?Kama ni ndio je kuna uwezekano wa kuunlock i2mie laini zote?Utunzaji wa chaji ukoje na ubora wa kamera ukoje
Habari za majukumu wanajamvi, Napenda kufahamishwa je hizi simu tajwa hapo juu inatumia laini moja yani tigo peke yake?Kama ni ndio je kuna uwezekano wa kuunlock i2mie laini zote?Utunzaji wa chaji ukoje na ubora wa kamera ukoje