Msaada kuhusu hp spectre 360x laptop

Unaitaka yenye specification zipi mkuu mie tupange bei hapa ninune niitume ikifika unakagua na kulipa
 
Mkuu naomba msaada kati ya laptop hizi..

1. HP pavilion ( PROcessor core i7 1165g7u, RAM 16GB, 512 GB SSD, Intel iRISx Graphics)

2. Lenovo yoga ( PROcessor core i7 10510u, RAM 12GB, 512 GB SSD)

3. Dell inspiron ( PROcessor core i7 1065g7, RAM 12GB, 512 GB SSD)

Nataka nichukue moja wapo naomba muongozo mkuu!

NB: Nimesoma online wanasema pavilion zinazingua so nikaona nikuombe mawazo yako kama ni kweli na pia juu hizo options tatu ipi itanifaa kwa matumizi ya kazi za engineering...
 
Gen ya 11 all the way Mkuu, 1165g7.

Kama budget inaruhusu no need kununua laptop za generation ya zamani, Gen ya 11 gpu ya ndani inatosha mambo mengi, ina nguvu kushinda low end dedicated graphics za Nvidia.

Hilo la pavilion kusumbua Sina uzoefu nalo Mkuu, ila unaweza chukua favorite brand yako kwa same specs maana brand zote kubwa Zina Gen ya 11.

Na kama unakwama kabisa hupati Gen ya 11 hakikisha Gen ya 10 inaishiwa na G kama hio dell, Gen ya 10 inayoishiwa na U kama hio Lenovo ni rebranded Gen ya 8.
 

Kinachoumiza kichwa ni hiyo HP ina dedicated graphics ila dell haina. Pia ina 16gb ram na dell ina 12gb! Au dedicated haina issue?
 
Kinachoumiza kichwa ni hiyo HP ina dedicated graphics ila dell haina. Pia ina 16gb ram na dell ina 12gb! Au dedicated haina issue?
Hio graphics sio dedicated, inaitwa Iris XE ipo built in kwenye cpu yoyote Gen ya 11.

Na ddr4 ram ni ghali hivyo 16gb ina make sense
 
Hio graphics sio dedicated, inaitwa Iris XE ipo built in kwenye cpu yoyote Gen ya 11.

Na ddr4 ram ni ghali hivyo 16gb ina make sense
Nimekupata mkuu!!

Sijawahi tumia hp ila Kwa sababu hii HP ina 16gb ram (dell ina 12gb) na ina processor ya 11th gen (dell ina 10th gen) acha nichukue hii HP!!

Kama ikizingua tutaja malizana kwenye warranty!

Nashukuru sana mkuu!!
 
Asante Kwa Ushauri Chief, nmepata msaada wa mawazo kutoka kwenu wadau Asanten Sana
 
Hyo ya laki 9 itakua model ya zamani yenye processor za generation za nyuma. Za intel 8th&9th gen ndio hyo 1.8 na 2M. Za 10th & 11th gen zinaenda mpaka 4M kma ni mpya.

Hyo itakua ya 6th or 7th gen refurbished
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…