SECRET AGENT
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 254
- 499
Hata Mimi nimeipenda sana ila nahofu kwann huyu anauza kwa bei ya chini zaidi, yan kutoka kwenye 1.8 yeye anauza 900,000Chukua hyo 2gb nvidia card hyo kali imesimama
Kama umejua kaka, jamaa duka lake lipo huko UngujaBei ya huyo jamaa sio kabisa ni uongo, especially kama ni wauzaji wa maduka ya zanzibar, mwambie uende ukakague mzigo kwanza
Asantee Sana Mkuu, nimeshtuka Sana, nkaanza kufuatilia bei mtandaon nkaona hakuna ya namna hiyo.Matapeli hao watakupiga hela tu, angalia insta page za computer kwa k.koo, pia chech na epic wako city mall na maduka mengine ila price ni 1.3m- na kuendelea kutegemea na ram, storage itakayokuwa nayo
Kipindi hiko uliichukua bei gani mkuu ??Hii series ni nzuri sana, niliichukua kama hii iliyotoka awali nafikiri miaka minne iliyopita, mpaka sasa sijaijutia.
Niliichukulia unyamwezini, ilikuwa around $1,500.Kipindi hiko uliichukua bei gani mkuu ??
sawa Mkuu Asante SanaNiliichukulia unyamwezini, ilikuwa around $1,500.
Juzi nilikuwa naiangalia nyingine Best Buy kuna moja ya $1,600 na nyingine ya 1,800 kutegemea na specification
Link hizi hapa fananisha specs na bei, hizi bei za US.
Kaka Kiranga kama una Laptop ya zamani ambayo huitumii kwa Sasa naomba nisaidie pls, hata kama ya zamani najua Kibongobongo itanifaa. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwako.Hii series ni nzuri sana, niliichukua kama hii iliyotoka awali nafikiri miaka minne iliyopita, mpaka sasa sijaijutia.
Tapeli tapeli,tapeli...Dont nimeshaeperience hilo hao wa zanzibar wanaouzia insta ni matapeliKama umejua kaka, jamaa duka lake lipo huko Unguja
Mkuu unauza ama unagawa!?Nauza laptop yangu, HP Envy x360, RAM 16, SSD 512, HD 1T, i7, 8th Generation, 15.3". Niliinunua mwaka jana. Haina tatizo lolote.
Daaah, Asante kwa kunijulisha Hilo mkuuTapeli tapeli,tapeli...Dont nimeshaeperience hilo hao wa zanzibar wanaouzia insta ni matapeli
Nauza laptop yangu, HP Envy x360, RAM 16, SSD 512, HD 1T, i7, 8th Generation, 15.3", touch screen. Niliinunua mwaka jana. Haina tatizo lolote.
Bei 2M.
Mkuu hivi vitu ni vigeni kwako?Kwamba Laptop yako ina SSD na HDD???
Mkuu nauza.Mkuu unauza ama unagawa!?
Unauza bila bei?? [emoji848][emoji23]