N ntamwangah Senior Member Joined Jan 16, 2013 Posts 164 Reaction score 24 Oct 14, 2015 #1 Wanajamvi nahitaji msaada wenu kuhusu hili kampuni kwenye upande wao wa TV kama ni imara kama zile kampuni zingne tulizozizoea.
Wanajamvi nahitaji msaada wenu kuhusu hili kampuni kwenye upande wao wa TV kama ni imara kama zile kampuni zingne tulizozizoea.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Oct 14, 2015 #2 usinunue kitu ambacho hakina support, wana office hapa tanzania? ikiharibika kuna spear? ni bora ununue ya bei ghali kidogo yenye uhakika kuliko kununua kitu usichokijua
usinunue kitu ambacho hakina support, wana office hapa tanzania? ikiharibika kuna spear? ni bora ununue ya bei ghali kidogo yenye uhakika kuliko kununua kitu usichokijua