Mkuu kumbe kuna gpa ya kata na ya chuo?Nakushauri soma.
1.Bachelor of Arts with Education.
Ili uwe mwalimu wa sanaa.
2.Bachelor of Science with Education.
Ili uwe mwalimu wa sayansi.
Kuhusu kuwa mwalimu wa chuo ni bidii yako kwenye masomo ili uwe na ufaulu mzuri(GPA ya 3.8 na kuendelea) ila isiwe GPA ya chuo cha kata.
Hayo mambo ya Bachelor of Education watajibu wengine.
Labda hujaelewa.Mkuu kumbe kuna gpa ya kata na ya chuo?
Vipi na huko makazini, mnalipwa mishahara tofauti na hao wa chuo cha kata? Vipi pia kuhusu promotion na demotion, nazo wanaangalia chuo na chuo cha kata?Nakushauri soma.
1.Bachelor of Arts with Education.
Ili uwe mwalimu wa sanaa.
2.Bachelor of Science with Education.
Ili uwe mwalimu wa sayansi.
Kuhusu kuwa mwalimu wa chuo ni bidii yako kwenye masomo ili uwe na ufaulu mzuri(GPA ya 3.8 na kuendelea) ila isiwe GPA ya chuo cha kata.
Hayo mambo ya Bachelor of Education watajibu wengine.
We mdanganye, ukaona wapi BA.Ed akawa Mkufunzi? na BE.d awe amesoma cha kata ama vipi anachaguliwa kuwa mkufunzi. Na Ukufunzi ni zali(bahati ikikudondokea unaenda japo GPA pia inaangaliwa).Mkuu kumbe kuna gpa ya kata na ya chuo?
Naona umeamua kumdanganya kweupeeee!Bachelor of art in education Hii hapa ndio unaweza kuwa mwalimu wa chuo cha diploma inakuwa na one teaching subject lakin unasoma vitu vingine vingii
Lakin Je una wa kukufanyia mipango ya kupata chuo maana wengi wamesoma na wanajiriwa kama walimu wa kawaida tu secondary.
Pia hii ata kama ukienda kuchukua masters ni ya education tu Ina maana mwalimu milele
bachelor of art with education hii ni mwalimu ambae anakuwa na masomo mawili ya kufundisha hii unakuwa. Mwalimu wa kawaida
Hapa utaenda chukua masters tofaut
Nimedanganya niniNaona umeamua kumdanganya kweupeeee!
vyuo vya kata kama vipi ebu vitaja by de way acha dharau ww kuita vyuo vyingine vya kata akunaga chuo cha kata...Labda hujaelewa.
Kuna GPA ya Chuo Kikuu na ile ya vyuo vya kata.
Nilisoma HGL but masomo ya sayansi pia niko fit, kama Maths niko vzuri sanakwanza ulisoma maasomo gani a' level?
tauanzie hapo, maana kuna uwezekano hata tukashauri nje ya hayo ulishoyapendekeza.
kama ww ulisomea sanaa advance, usiende kuchukua ualimu wowote (sijui wa chuo, sjui wa secondary), utapoteza muda. ni bora ukajifunze ujasiliaamali.
Naona umeamua kumdanganya kweupeeee!
Povu hili... Kila mtu ana hak ya kusifia chuo chake awezavyo nmefurahshwa na mwandsh katumia busara kutotaja jna la chuo lkn ww umeonesha waz una inferiority complex kwa jns ulvojshtukia.vyuo vya kata kama vipi ebu vitaja by de way acha dharau ww kuita vyuo vyingine vya kata akunaga chuo cha kata...
Ulichosema sio sahihi!!!!!Nimedanganya nini