G gkipaka Member Joined Mar 11, 2011 Posts 26 Reaction score 0 May 7, 2011 #1 Poleni na kazi wana jf coz mna2saidia mambo mengi sana,kwa leo mimi naomba msaada kuhusu hili;Nina diesel injini HP20 so nilikuwa natafuta motor inayoweza kunizalishia umeme mwingi nawezaipata wapi kwa hapa dar na inawezakuwa kiasi gani?asanten sana
Poleni na kazi wana jf coz mna2saidia mambo mengi sana,kwa leo mimi naomba msaada kuhusu hili;Nina diesel injini HP20 so nilikuwa natafuta motor inayoweza kunizalishia umeme mwingi nawezaipata wapi kwa hapa dar na inawezakuwa kiasi gani?asanten sana