Ukubwa wa dish ndo muongezo zaidi wa kupata sat nyingi zilizopo out of space, Dish ndogo zinatumia Frequency kubwa hivo huhitaji mzigo wa dish na dish kubwa yenyewe ni medium frequency , Dish ndogo ni weak katika swala la signal panapotokea hali mbaya ya hewa kama mvua dish kubwa ni strong zaidi .Dish ndogo zina Range ktk 4Ghz mpaka 8Ghz ambapo tunahitaji KU Band Low Noise block down converter kukamata na Dish kubwa ni 3Ghz kushuka chini na ni Zipo ndani ya C Band Range