Chief -habari cm yangu INA INA GB 8 na iko free GB 5 ila nikiingiza vitu inasema it needs mb 112 ,shida ni nn?, pia Nina Memory card 4Gb je ninaweza kuchanganya na Gb za cm ikawa na nafasi kubwa? Nifanyeje? Asante mkuu1. inawezekana walikutapeli kwa kukuuzia memory card ya mb 250, upo uwezekano wa kuchange memory card ikasoma kama ina GB nyingi wakati kumbe uwezo wake haufikii hizo gb. hata wale matapeli wa mtaani wanaouza flash na memory card za gb 64 hutumia njia hizi.
2. inawezekana kuna nafasi hujaifanyia allocation ionekane, pengine ulifanya partition au kutumia software usio ifahamu etc.
kwanini usiifanyie full format kwa mfumo wa kawaida kwa kutumia kifaa unachotumia? mfano kama unatumia simu ya android, tumia hio simu kuiformat.
Chief -habari cm yangu INA INA GB 8 na iko free GB 5 ila nikiingiza vitu inasema it needs mb 112 ,shida ni nn?, pia Nina Memory card 4Gb je ninaweza kuchanganya na Gb za cm ikawa na nafasi kubwa? Nifanyeje? Asante mkuu
1. inawezekana walikutapeli kwa kukuuzia memory card ya mb 250, upo uwezekano wa kuchange memory card ikasoma kama ina GB nyingi wakati kumbe uwezo wake haufikii hizo gb. hata wale matapeli wa mtaani wanaouza flash na memory card za gb 64 hutumia njia hizi.
2. inawezekana kuna nafasi hujaifanyia allocation ionekane, pengine ulifanya partition au kutumia software usio ifahamu etc.
kwanini usiifanyie full format kwa mfumo wa kawaida kwa kutumia kifaa unachotumia? mfano kama unatumia simu ya android, tumia hio simu kuiformat.
ile app ya sd insight itakujulisha, au eka file la huo ukubwa, tafuta movie zako kama 10 hivi eka kwenye hio sd card ya 16gb ukiona inajaa kabla gb hazijatimia means ni fake.Mkuu unawezaje kutambua memory pale pap umekutana na mtu tu anauza memory card kwa reasonable price msaada na je kama memory gb 16 ukiweka ikisoma gb 15.43 hyo ni fake na je kama sio ntafanyajr ili nijue hiyo njia kwa kutumia app na ni ipi? Ahsanteh
ile app ya sd insight itakujulisha, au eka file la huo ukubwa, tafuta movie zako kama 10 hivi eka kwenye hio sd card ya 16gb ukiona inajaa kabla gb hazijatimia means ni fake.