Msaada kuhusu hii massage kwenye pc yangu

Msaada kuhusu hii massage kwenye pc yangu

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Kila nkiwasha computer yangu baada tu ya kuDisplay desktop icons napata hii msg
"APC PBE Agent
Failed to start APC PBE agent service.
Time out 90 seconds. Service start operation canceled"
naomba msaada namna ya kuDisable huu ujumbe ucwe unatokea!
 
ishu hiyo sometime una i solve kwa ku install java na java kama uli install java old version itoe weka new version au download Powerchute install Software / Firmware
 
Kila nkiwasha computer yangu baada tu ya kuDisplay desktop icons napata hii msg
"APC PBE Agent
Failed to start APC PBE agent service.
Time out 90 seconds. Service start operation canceled"
naomba msaada namna ya kuDisable huu ujumbe ucwe unatokea!
Hiyo ni computer ya kawaida au ni server?Kama ni server na unajaribu kulogin kwenye Power Chute Software jaribu kutumia browser nyingenine kama mozilla au chrome.Au jaribu kulogin kwa kutumia computer nyingine ambayo iko kwenye network hiyo.Inawezekana unatumia IE na kuna some files za kussurport java zinamiss kama alivyokwambia Fatma.
 
Asanten sana ngoja njaribu hz solution zote mbili
then ntaleta feedback
 
Back
Top Bottom