Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
Oi nataka kuunganisha dile 7 za excell ili liwe file moja nafanyeje?
Kama data ziko simple na hazina variables nyingi tumia tu excel form, vba ni advanced kidogo kama data zako ni complexMimi nataka kutengebeza Data entry form ambayo itanisaidia kuingiza data kwenye excel sheet kirahisi, kuna mtu alinishauri nitumie VBA ndio inaweza sasa sijui hata nianzie wapi, kama kuna mtaalamu humu anaweza nisaidia hiyo VBA kwenye excel
Excel form inakuajr??nipe pending kidogo.Kama data ziko simple na hazina variables nyingi tumia tu excel form, vba ni advanced kidogo kama data zako ni complex
Nashindwa kuandika steps lakini google tu "how to create a data entry form in excel" ukikwama sehemu tutaelekezana.Excel form inakuajr??nipe pending kidogo.
Nataka tu niwe na template niwe naingiza tu data
Bado sio msaada hiyo formNashindwa kuandika steps lakini google tu "how to create a data entry form in excel" ukikwama sehemu tutaelekezana.
Ya VBA ndio ipo vizuri sana fomu yakeNashindwa kuandika steps lakini google tu "how to create a data entry form in excel" ukikwama sehemu tutaelekezana.
Okay,muelekeze hiyo ya VBA kama itakuwa simple kwake kuelewa otherwize mtengenezee templateBado sio msaada hiyo form
Ameprotect cells lakini amesahau kuweka tick kwenye option ya "select cells". Kama angeweka tick, hata kuziselect hizo locked cells usingewezaKwanza nianze kwa kuweka wazi tu mimi sijasomea kompyuta kabisa wala sina ujuzi wowote maalumu wa hiyo kitu (hata introduction)
Pamoja na hayo, nimekuwa na interest nayo sana kompyuta kiasi kwamba hapa nilipo wananiaminia kwenye maswala hayo wakidhani labda mimi ni mtaalamu (kuhusu simu na kompyuta)
Sasa juzi kuna template nimerushiwa kwenye WhatsApp niingize data fulani kila nikitaka kuedit kwa simu haitaki inasema sheet is protected basi nikampigia mtumaji anipe password akasema hakuna password kuna wenzangu wengine imekubali kwenye vifaa vyao wanapiga kazi.
Nikahangaika hapo wee mara ikakubali kuedit lakini inakuwa inaficha huoni ile sehemu mpaka ukishajaza ndo una uwezo wa kuchungulia (kiufupi utaedit kwa kuingiza taarifa zako hizo ila kwa tabu sana-hupewi uwanja mpana wa kuona unachoshughulika nacho)
Nikasema labda nitumie pc nayo ndo kabisa ikakataa pamoja na kufuata maelekezo yake inayodisplay.
Mpaka hapo nikacomfirm nimekwama kwahiyo naombeni msaada!
View attachment 2262210
Kumbe ee!?[emoji848]Ameprotect cells lakini amesahau kuweka tick kwenye option ya "select cells". Kama angeweka tick, hata kuziselect hizo locked cells usingeweza