Unataka kujenga?Ni eneo la jiji,manispaa au kijiji?Ni aina gani ya biashara?
Njia rahisi ya kufahamu taratibu ni kutembelea afisa biashara wa eneo husika kisha umuulize maswali yako ila cha muhimu unatakiwa ujue ni kwamba,Kibongo bongo tunatumia mfumo wa snag detection.Yaani unaanza kisha unaweka MVP halafu hao wanaosimamia hizo taratibu wanakuja mwenyewe maana wamekaa ofisini hawana kazi ya kufanya
J