Napenda kuuliza ,mimi nimeingia mkataba na google adsense kutangaza matangazo kwenye blog yangu,na nimeshafikisha dolla 10,wamenitumia pin code,zitachukua siku ngapi kufika Tanzania kwa posta,?Msaada tafadhali.
Adsense wanafanya malipo mara moja kwa mwezi, kawaida ni kuanzia tarehe 20 ya kila mwezi wanalipa malipo ya mwezi uliotangulia. Hata hivyo ili uweze kulipwa kwa mwezi huo ni lazima balance yako iwe imefikia angalau dola 100 au euro 70. Kama haujafikia hiyo balance wanai-carry forward mwezi unaofuata