You need to wait! They can tell you three days but it can be longer than three days even a month! Just sobriety keep waiting!Msaada wakuu
utasubiri sana mimi nimesubiri sana mpaka nikaamka kuibust na vmob ndo ikakubaliHabari zenu wakuu.. Nmeapply google adsense... Wakaipitia property yangu...then kuna code nlipewa niiweke kwenye header tags ili waifanyie review website yangu... Nikafanya hivyo...Sasa nashangaa kila nikilog in naambiwa bado wafanya review na watanijulisha baada ya siku tatu wakishamaliza rewiew process... Sasa sijaelewa kwa nyie wazoefu wa hii kitu..hii process ya review huwa inachukua muda gani?!...maana naona ni zadi ya wiki mbili naambiwa hivo hivo tuu...
Kwa wale wataalamu wa hii kitu hivi kuna dalili yiyote ya kuwa aporoved hapo?...naombeni msaada hapo wakuu..
Sawa mkuu...maana b4 nilikuwa na baadhi ya post za kiswahili walinipa feedback faster nirekebishe the ni reapply... Baada ya kuapply ndio nikapewa hizo codes ili wanifanyie review.... Na ndio nimestuck hapo wiki mbili sasa zinakatikakuwa na subira ila kama site yako ni ya kiswahili itakuwa ni ngumu sana kukubaliwa. Baadaya ya kuweka hizo generated codes unavuta kwanza pumzi mzee ili wafanye yao.