Mgodo Mgodoki JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 1,399 Reaction score 1,368 Oct 2, 2014 #1 Wasalaam Wakuu,naulizia kwa yeyote mwenye kufahamu gharama za kufunga CCTV Camera,nina project yangu inayohitaji CCTV Camera 4.
Wasalaam Wakuu,naulizia kwa yeyote mwenye kufahamu gharama za kufunga CCTV Camera,nina project yangu inayohitaji CCTV Camera 4.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,145 Oct 3, 2014 #2 Mgodo Mgodoki said: Wasalaam Wakuu,naulizia kwa yeyote mwenye kufahamu gharama za kufunga CCTV Camera,nina project yangu inayohitaji CCTV Camera 4. Click to expand... Ukiwa mtundu kidogo si kazi sana unaweza hata ukafunga mwenyewe si kazi kubwa sana ya kuanza kutoa gharama kwa kufunga kila kamera mimi nilinunua tu nikafunga mwenyewe
Mgodo Mgodoki said: Wasalaam Wakuu,naulizia kwa yeyote mwenye kufahamu gharama za kufunga CCTV Camera,nina project yangu inayohitaji CCTV Camera 4. Click to expand... Ukiwa mtundu kidogo si kazi sana unaweza hata ukafunga mwenyewe si kazi kubwa sana ya kuanza kutoa gharama kwa kufunga kila kamera mimi nilinunua tu nikafunga mwenyewe
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,052 Oct 3, 2014 #3 nitayarishie DVR, camera na cable zake nakuja kukufungia bureeeeeee ila nauli tu ndo unipe
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Oct 3, 2014 #4 hata sijui
W wingman7 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 348 Reaction score 79 Oct 3, 2014 #5 Ok kama unataka kununua cctv camera contact me 0714-087253