Wenye uwezo wa kumiliki gari hiyo wala hawawezi kuja hapa kuuliza fuel consumption. wewe nunuwa Toyota Passo ndio huwezo wako na utafurahia matumizi yake ya mafuta.
hizo za V8 ni Petrol na zina kunywa sana wese. V8 zina cc kati ya 3946 hadi 5000cc ila kuna za TD6 zinatumia Diesel, 2900cc na 2495cc (3.0L, 2.5 DT au 2.5 DSE) consumption yake ni nzuri sana kushinda hata Toyota Prado.
hizo za V8 ni Petrol na zina kunywa sana wese. V8 zina cc kati ya 3946 hadi 5000cc ila kuna za TD6 zinatumia Diesel, 2900cc na 2495cc (2.5 DT au 2.5 DSE) consumption yake ni nzuri sana kushinda hata Toyota Prado.