Msaada kuhusu Gari aina ya suzuki jimmy wide

simple N

Member
May 31, 2015
57
11
Nataka kununua Gari aina tajwa hapo juu Mwenye uzoefu naomba anisaidie bei yake pamoja na ulaji wa mafuta maana m nina 10m je naweza pata.
1457500668276.jpg
 
Ni gari nzuri na inatumia mafuta kidogo.Tatizo kwenye soko ni magari machache na spareparts ni ngumu kupatikana.
 
Duh! Hiyo gari kila siku naiwaza... Kuipata kwa kuagiza kutoka nje andaa kama kumi na tatu hivi... Bei ya kukanunua hako kadude ni sawa tu na kununua Rav 4 au X trail am telling you...
 
Back
Top Bottom