Nenda setting kisha App halafu angalia angalia kwenye options hizo utaona mahala pa kuclear cache, jaribu uone kama Itasaidia.
Kwa android za kisasa unaweza tu ukahold icon ya app kisha chagua info (kialama cha i) itakupeleka moja kwa moja kwenye hio menu.