S stratoz Member Joined Dec 9, 2015 Posts 5 Reaction score 4 Apr 19, 2017 #1 Habari zenu wanajaamii. Kwa wale wenzangu mlio vizur katika android development. Naomba msaada kwa mwenye ujuz wa namna ya kuwasiliana kati ya fragment mbili au zaidi (fragment communication) kwa kutumia interface. Shukran
Habari zenu wanajaamii. Kwa wale wenzangu mlio vizur katika android development. Naomba msaada kwa mwenye ujuz wa namna ya kuwasiliana kati ya fragment mbili au zaidi (fragment communication) kwa kutumia interface. Shukran