Msaada kuhusu fao la kujitoa PPF

Msaada kuhusu fao la kujitoa PPF

mzibua chemba

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
476
Reaction score
413
nssf nasikia wanatoa ela ila kwa ppf nasikia imekua ngumu naomba msaada ni jinsi gani naweza kupata huko ela zangu maana nimeachishwa kazi toka mwezi wa 5 na nina mzigo wa maana sasa nasikia hawataki kutoa ela wakati kule hela yangu haiongezeki wala kuzalisha huku mimi nataabika mtaani
 
Kwani ile ya kufikisha miaka 55 imesitishwa mkuu?
 
nssf nasikia wanatoa ela ila kwa ppf nasikia imekua ngumu naomba msaada ni jinsi gani naweza kupata huko ela zangu maana nimeachishwa kazi toka mwezi wa 5 na nina mzigo wa maana sasa nasikia hawataki kutoa ela wakati kule hela yangu haiongezeki wala kuzalisha huku mimi nataabika mtaani
Mi mwenyewe nina hela zangu huko na nilipoanza kuzifuatilia wakaniambia eti wamesitisha fao la kujitoa. Kusema kweli wanaboa sana hao watu na kwa staili hii watakosa wanachama wapya wa kujiunga na mfuko wao.
 
huu utawala unasikitisha sana
 
nssf nasikia wanatoa ela ila kwa ppf nasikia imekua ngumu naomba msaada ni jinsi gani naweza kupata huko ela zangu maana nimeachishwa kazi toka mwezi wa 5 na nina mzigo wa maana sasa nasikia hawataki kutoa ela wakati kule hela yangu haiongezeki wala kuzalisha huku mimi nataabika mtaani

Hakuna kitu kinaitwa FAO halafu unajitoa
 
ppf wameharibu ndoto zetu wengi sana....

hakuna njia nyingine ya kupata mtaji zaidi ya mikopo bank tu yenye riba kubwaaaaaaaaaa..

yaani umaskini umeshakuwa ndio goal ya serikali
 
mbona nssf watoe wao ppf wasitoe
 
ebu tupe elimu kidogo mzee kama kazi imeisha uliko kua unafanya secta binafs unafanyaje
Kwanza jua kuwa sheria iliyoanzisha hii mifuko inasemaje,hakuna duniani kote FAO LA kujitoa,hili liliwekwa tu kisiasa ila lengo kuu ni pension na pension ni miaka 55-60,hivyo vumilia tu
 
daa now ndiyo na 30 na sitarajii tena kuajiriwa kabisa sasa mbona hizi secta binafsi viwanda, ujenzi wa Majengo na kampun ambazo ni kazi za mikataba mfupi alafu ndiyo unaambiwa miaka 55 wakati unafanya kazi miaka miwili wamemaliza inahaja gani kujiunga kwenye hii mifuko
 
HAPA DAWA NI KUKUTANA WOTE TUNAOIDAI PPF TUPEWE HELA ZETU
 
Wanao dai PPF mko wapi kilichosababisha wasitishe hafla kutoa Ni nini bila hata kusikia maoni ya wenye pesa?Tudai chetu wasitutanie mikataba yenyewe ya mda hiyo kitu I apply government sector sio private
 
Back
Top Bottom