Msaada kuhusu Faculty ya community development

Johnny_jexy

Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
22
Reaction score
0
Wadau naomba mnielekeze mtu akisoma faculty ya community development anaweza kujiajiri au kuajiriwa katika shughuli gani????
 
Utafanya kazi na NGO's, utakuwa mtu wa kusafiri sana, inategemea na kazi utakayo pangiwa, unaweza kusafiri kijiji mpaka kijiji au wilaya mpaka wilaya. Uzuri wake hukosi pesa za safari lakini hutakuwa mtu wa kutulia nyumbani.
 
Asante sana ndugu, sasa huko mtu atakapopangiwa anaenda kufanya shughuli gani za kijamii???
 
Wadau naomba mnielekeze mtu akisoma faculty ya community development anaweza kujiajiri au kuajiriwa katika shughuli gani????

Kamuulize Makonda maana ndio mwenye hiyo Degree ya Community Economic Development.
 
Peleka ujinga huko kwenu, sijauliza community economic development....... Anza ww kumuuliza kwa sababu ndo unayemuwaza.... Kama huwezi kuchangia mada acha kukurupuka
 
Sori wakuu Ivi naweza somea degree ya koz nyingne tofauti na niliyosoma diploma? Mfano diploma ya HRM then degree in accountancy ..maake naona tcu wamebana hasa kwenye admission rekwayamenti.
 
Ofcourse ni kozi nzur waweza jiajiri mwenyewe kwa kutengeneza community group, or ukaamua kuchukua watoto yatima kuwalea kupitia project mbalimbali ili upate misaada. Waweza kuajiriwa bank as teller or ukafany motivation kwa jamii kuhusiana na issues za bank, project manager if utakuwa competent, ward executive officer, community development officer lakini ajira nyingi sana huwa zatoka from any NGO's, saccos n.k mabayo yajihusisha na societies.
 
Sori wakuu Ivi naweza somea degree ya koz nyingne tofauti na niliyosoma diploma? Mfano diploma ya HRM then degree in accountancy ..maake naona tcu wamebana hasa kwenye admission rekwayamenti.
Rikwayament? Hatukutaki huku Kwenye uhasibu
 
Peleka ujinga huko kwenu, sijauliza community economic development....... Anza ww kumuuliza kwa sababu ndo unayemuwaza.... Kama huwezi kuchangia mada acha kukurupuka

Wewe kweli ni kiazi kikuu ndio maana haujui hicho unachotaka kusomea mpaka ukaja hapa,nyambafff!
 
Rikwayament? Hatukutaki huku Kwenye uhasibu
hahaha mkuu iyo nmeandika kwa kiswahili zaid ila naimani umenielewa ivo naomba unipe mwanga kidogo ile nipate kufanya vitu vya uhakika zaid. Asante
 
Back
Top Bottom