Msaada kuhusu Facebook app

Msaada kuhusu Facebook app

MWAMTOBE

Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
85
Reaction score
21
Wadau Habari,
Nilikuwa na akaunti ya Facebook. Juzi simu yangu ilizingua kidogo hivyo Nika Uninstall Baadhi ya app ikiwemo Facebook.

Baada ya hapo Nika reinstall ila Facebook kila nikitaka ku sign up naambiwa no internet connection hata kama network inasoma 1Mb/s

Je nifanyeje ili kuirudia app yangu na kuendelea kama kawaida?!
 
Nenda setting utakuta sehemu imeandikwa storage utabonyeza hapo utakuta neno limeandikwa data application utabofya hapo kisha tafuta sehemu palipo andikwa facebook kisha ufute data zote za fb kisha download tena app then livenji
 
Thanks for your help. Nimefanya hivyo lakini bado sijafankkiwa
 
Nenda setting utakuta sehemu imeandikwa storage utabonyeza hapo utakuta neno limeandikwa data application utabofya hapo kisha tafuta sehemu palipo andikwa facebook kisha ufute data zote za fb kisha download tena app then livenji
Nenda badirisha APN ya simu yako iwe sawa
 
Back
Top Bottom