Mliotoa ushauri huu sidhani kama mnajua alichouliza.
Generally video tutorial za youtube ni fupi sana just kuonyesha idea. Lakini unapotaka kujifunza kitu at a proffesional level ni lazima pesa zikutoke.
Back to the topic. ERP ziko nyingi sasa unataka kujifunza ipi sasa. Kuna SAP, SAGE, Oracle ebiz suite just to mention a few.
Pili unataka kujifunza nini hasa, Administration, Customization au matumizi.
ERP zina modules nyingi, zingine ni specific kwa wanataaluma fulani. eg Accounting, hr etc.
Eleza shida yako hasa usaidiwe