B Bugasarai Member Joined Oct 8, 2017 Posts 74 Reaction score 240 Mar 14, 2018 #1 Habari wakuu, ninatumia printer aina ya Epson LL382 imekwama gafla kufanya kazi , wanadai niweke code ili ifanye kazi upya..naomba mwenye kujua namna ya kupata hizo code anisaidie wadau . Nawasilisha
Habari wakuu, ninatumia printer aina ya Epson LL382 imekwama gafla kufanya kazi , wanadai niweke code ili ifanye kazi upya..naomba mwenye kujua namna ya kupata hizo code anisaidie wadau . Nawasilisha