itajulikana
Member
- Feb 25, 2012
- 8
- 0
Namba kwa mtu yeyote anayejua set up za email. Naomba nijue mnafanyaje ili kila napo tuma email zangu kwa watu mbalimbali ziwe zinaapia na full address kwa chini bila kuwa naandika mara kwa mara kwa chini. Shukrani kwa masaada wenu.