Mmhh mkuu sasa mbona nina ndugu yangu ana Diploma ila hivi sasa ninavyoandika ana nyota mbili na hajafikisha hata miaka minne jeshiniAnawaza cheo hahaha.
Kwanza itabidi aanzie JKT akitoka huko ndipo TMA itafuata hatapata ULUTENI USU kama ilivyokuwa zamani bali ataanza na sergeant (sajini) Bachelor degree zimekuwa nyingi sana jeshini kama mchele [emoji13][emoji13][emoji13].
.
Bana kule hakufai kuna hivi vitu
1. Mwendo mkali
2. Tumekomaa
3. Heavy heart
4. Vunja viungo
Heavy heart ni shenzi [emoji134][emoji134] kuna mwenzao aclamatization ni shida simkatishi tamaa mdogo wako ila ajiandae psychologically
.
mimi sio mwanajeshi[emoji124][emoji124][emoji124]
Umesaidia sana mkuu yaani umejibu mule mule ila nitajaribu kufuatilia na kwa sasa kama mambo yamebadilikaMpaka mi naondoka niliacha mambo yakiwa hivi..
Form 6 - nyota mbili (luteni) kuna mtu namjua kapata hicho cheo.
Bachelor degree - nyota tatu (captain).
Lazima apite Jkt miezi 6 ya kujitolea, baada ya hapo atapiga kozi ya TPDF yaani bakabaka kwa muda usiopungua miezi 4 hadi 6. Baada ya hapo ndio ataenda monduli kupiga kozi ya cadet officer kwa muda miezi 9. Baada ya mlolongo wote huo ndio ataweza kuwa afisa wa jeshi.
Kuhusu mshahara nakumbuka captain wetu aliyekua na nyota 3 alikua anachukua m3 kasoro hivi, kutokana na kauli mwenyewe. Na wenye nyota 2 inacheza kwenye m2 mbili kasoro point kidogo (kwa hapa am not sure).
Naongea from my experience ya miaka 5 nyuma, labda mambo yabadilike hivi sasa.
I hope nimesaidia.
Mmhh haya mambo yanachanganya sana yaani mtu ana masters ila bado anasota JKT miaka 3?Kuna wenzake wana masters bado wanajitolea huko JKT mwaka wa 3 sasa.
Jeshini hamna mshahara kuna 'posho' tu.
Oohh huyo mwalimu wenu alichukua muda gani hadi kupata nyota mbili?Hmmm...okay its yo experience we can't judge you.
Experience yangu me ya miaka miwili iliyopita plus na huu wa 3.nachokumbuka ni mwal.wetu alikuwa na nyota mbili na alikuwa na masters.
My friend Ana elimu ya form 6 ni private ndo kapata this August anaenda kozi ya usalama. Haina nyota hiyooo
Ninyi ndio alina nani sasa Hazchem plate?
Mmhh mkuu sasa mbona nina ndugu yangu ana Diploma ila hivi sasa ninavyoandika ana nyota mbili na hajafikisha hata miaka minne jeshini
Halafu hivi mazoezi yote hayo wanafanya wote wanaume na wanawake au kuna mazoezi ambayo wanawake wanakuwa excluded?
Anha kwahiyo mshahara unategemea na mtu anafanyia kazi kitengo gani huko jeshini?Mwambie aje huku kwetu kwenye Jeshi usu ale maisha. Hao masajini au Makoplo wanakula mili hazipungui 3. private huku tunaita Ranger anakula Milion 2 na laki 3. Thou mishahara ipo according to Scheme of service na sio Vyeo vya kijeshi. View attachment 1170837
Hapana mkuu haendi kwa sababu ya pesa anaenda kwa sababu anapenda jeshi ila tu anahitaji kujua kuhusu course zake na hilo la mshahara ni kama swali la nyongeza tu ila yeye jeshi analipendaMnaopenda kwenda jeshi sababu ya mishahara kuna siku mtagharimika tu... Every choice has its consequences.
I wish jeshi letu lingekuwa kama marekani. Maana wenzetu mpaka magenral wanaenda operation.
Bongo ingekuwa hivo basi watu wangekuwa wanaenda jeshini kwa kujitoa na siyo kwa ajili ya njaa ya pesa...
Nadhani mambo yamebadirika saizi, nakupa hii ni experience kutoka kwa jamaa zangu nliomaliza nao form six 2015Mmhh haya mambo yanachanganya sana yaani mtu ana masters ila bado anasota JKT miaka 3?
Mbona nina ndugu yangu mwingine ana diploma lakini hivi sasa ninavyoandika ana nyota mbili na hajafikisha hata miaka minne jeshini au labda jeshini ni connections tu?
Duuh aise kwahiyo inaweza kuchukua hata miezi mtu kusubiri kutoka kwenye course moja kwenda nyingine?Itamchukua takribani miaka miaka 2 kasoro hivi kutoka jkt hadi kuwa officer wa nyota moja (Luteni - usu)
Hapo ni nje na kusubirishwa kabla ya kwenda kozi yaani tunaasume ameenda smoothly mwanzo mwisho
Mmhh mkuu sasa mbona nina ndugu yangu ana Diploma ila hivi sasa ninavyoandika ana nyota mbili na hajafikisha hata miaka minne jeshini
Halafu hivi mazoezi yote hayo wanafanya wote wanaume na wanawake au kuna mazoezi ambayo wanawake wanakuwa excluded?
Kwanini usiseme tu kwamba ni wewe mama la mama?
Na hata mimi ndicho nilichogundua kwamba jeshini ni connection tu maana kila mtu anaongea lakeUtaratibu sasa hivi umebadilia
MOJA: Askari anayetakiwa awe na nyota kwa UMRI ni chini ya miaka 23 kushuka chini,kwa experience yangu Uncle angu mda huu anapiga hiyo course ya uafsa.
MBILI: Hata kama utakuwa na Masters ni lazima uanzie chini yani nyota moja lakini kabla ya hapo utaratibu ulikuwa mwenye degree mfano ya MD atachukua nyota tatu.
TATU: course ya Uafsa ni miezi 9 na sio chini ya hapo.
Nb: Kuna uncle wangu mkubwa ana elimu ya form six lakini hakupata cheo chochote ila alivaa UKOPLO kwa Sababu ya fani yake CLINICAL OFFICER.
Jeshini usipokuwa na refa utapiga mihayo Sana utashangaa wa darasa la saba anavaa bakabaka ila mwenye Degree ya Engendering anarudi nyumbani.
Kuna wenzake wana masters bado wanajitolea huko JKT mwaka wa 3 sasa.
Jeshini hamna mshahara kuna 'posho' tu.