sio huko tu na wala sio aurtel tu....hili ni tatizo la kitaifa ndugu....kila kona kila mtandao!!! hakuna mtandao ulio 100% good ...kila mmoja una mazuri yake na mabaya yake kulingana na eneo husika...ushauri wangu ni kujaribu mitandao tofauti tofauti kwa nyakati tofauti ili upate ule utakaokuwa ahueni kulingana na eneo ulilopo!!Speed ya airtel inaboa sana huku, ingawa inasomeka edge
EDGE (yaani Enhanced Data Global Evolution) ilianzishwa ili ku-upgrade GSM ambayo ni bora kuliko GPRS. Kwa hiyo ni wazi kuwa speed ya EDGE inapita mbali GPRS.
Uwezo wa EDGE wa data speed ni 236 Kbps lakini makampuni ya simu yana configure EDGE isiyozidi 135 Kbps ili kubana matumizi ya spectrum resources.
Kwa hiyo suala la speed ya EDGE kuzidiwa hata na GPRS inategemea mambo mawili hasa:
.
- configurated speed ya EDGE ambayo kampuni imeset na
- afya ya connetion wakati unadownload inaweza ikaminya speed hata chini zaidi
Wenzetu wanafanya video calling, video conference bila shida, sisi bado tunadownload files kwa 6Kb/s - tutafika kweli? Sijui huo wimbo wa mkonga utaisha lini