Msaada kuhusu DSTV

ysm.WISEMAN

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
79
Reaction score
34
Wadau habarini za jioni..??
Kwanza poleni na majukumu ya kutwa nzima ya Leo.
Mm c mwenyeji katika jukwaa hili lakini naomba msaada wenu.

nikuhusu DSTV INSTALLATION, Nilikuwa nikitumia kabla lakini Jana nilihama na kuhamia eneo jingine hivyo nilihama na dish langu lakini kilichonishinda ni kwamba nilipolifunga huku makazi mapya kumekuwa hakuna signal.
Ujumbe unadisplay searching for signal.
Naomba kwa mwenye uelewa juu ya hili anijuzu wandugu.
Natanguliza shukrani.
 

Bado hujapatia uelekeo sahihi wa satilite yenye dstv,ushauri wangu tafuta fundi wa mambo hayo akusaidie
 
Tafuta fundi mzuri , ata set dish lako uelekeo wa Dstv, na utapata huduma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…