DOT YLP ni leadship program ambayo sisi tulikuwa waanzilishi last year, Lengo la program hii ni kuwandaa vijana ili wawe viongozi wazuri kwenye jamii wanayotoka, no program nzuri Sana na unaisoma online lakini kuna wakati itakulazimu uhudhurie face to face session na wanaprovide lunch.