Habari wana Jamiiforum kuna mtu anawafahamu Distance Learning Support Network walitoa nafasi za Admission Coordinators, Je kuna yeyote anaejua kinachoendelea?
Itakuwa hukubahatika tu ndugu yangu, maana binafsi niliomba wakanitumia maswali ya interview nikayajibu, baadaye wakanitumia nijaze form na nitume copy ya vyeti certified kwa ajila ya mkataba, lakini kwa sababu zangu binafsi sikuendelea nao, hivyo nadhani kunawatu watakuwa wameanza kazi!
Nilikua namaanisha mwendelezo wa pale walipoishi kaka mkubwa.....ANDERNORMANS
umesema kuwa uliongea na muhusika na kusema kuwa mchakato utahanza tena january, kaka mimi hapo sijakupata vzr, inamaana kuwa watatanga upya izo nafasi na sisi ndo tumepigwa chini au ndo watazi review kwa wale ambao tulikuwa tuisha fikia hatua ya ya kupeleka certified copy?
Nilikua namaanisha mwendelezo wa pale walipoishi kaka mkubwa.....