Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Habari wana JF!
Kuna hii Protocol wameanzisha CRDB kukutaka usajili Card yako na VBV/Secured Code,awali mimi nilikua na Master Card ambayo nafikiri nilisajili 2014 na ulikua unajaza Form tu then Card inakua enabled kufanya manunuzi mtandaoni bila hii process ya Verifivied By Visa(VBV)/Master Card Secure code!
Sasa kuna siku nilijaribu kununua kitu katika site fulani kwa kutumia Card moja kwa moja wakaniomba Access Code/account number ambayo personally sijawai kupewa hata siku moja ila kwa kuwa kulikuwa na neno "or " account number nkasema ngoja nijaze account number ya card basi ndo ukawa mwisho wa Card yangu ikawa blocked kutumika kwenye ATM na kufanya Online transaction!
Week iliyopita nimeenda kuwaeleza wakanambia niombe Card mpya haikupita hata week jana wakanitumia message nifate Card mpya, nimeifata Leo na nkajaza Form ya online Purchase mida ya asubuhi na wakanambia watanitumia Ujumbe wa kukamilisha Usajili!
Sasa Mida hii wamenitumia Ujumbe ambao unasoma hivi
Sasa nkiingia kwenye tovuti yao sioni hicho kitu kama security->Help Menu
Ila naona mahala wanasema nifate hiyo Link ku register for VBV/Secure code ila nkiifata wananiomba Card Number ila process zinazofata zinagoma napewa huu ujumbe hapo chini kwenye picha na hii si mara ya kwanza nilishajaribu kumsajilia mtu hii service card iliishia Kufungwa sasa na mimi sitaki ingia Mkenge
maana kuna Site inabidi nilipie service kila mwezi na Card ya BancABC haikubali huko na site hawatumii PayPal na huduma za ABC zimekua hovyo kabisa unatuma hela kwa Tigopesa inamaliza zaidi ya week haijaingizwa kwenye account,Ukienda Branch kwao unakuta dada sijui ni mtu wa wapi yule yaani anaandika tatizo lako kwenye kitabu na kukulaghai atakupigia kukupa solution ila hakupigii na tatizo lako haliwi solved!
Msaada kwa wale walopata kusajili hii Huduma!

Code:
Please Register for VBV/SECURE CODE through www.crdbbank.com under Security Help Menu,here is your account number and access code xxxxxxxxxxxxxxxxx