The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Feb 14, 2017 #21 MOSES77 said: Ok.. Asante kwa maelezo [emoji106] Click to expand... karibu kwenye uwanja wa codes... ni tamu mkuu ila ujiandae tu..!!! Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
MOSES77 said: Ok.. Asante kwa maelezo [emoji106] Click to expand... karibu kwenye uwanja wa codes... ni tamu mkuu ila ujiandae tu..!!! Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
E emanuel kihongosi Member Joined Jul 2, 2017 Posts 37 Reaction score 9 Jul 17, 2017 #22 Naomba jua jambo moja hivi kama ukitaka soma diploma ya ICT form four ulipata iii inawezekana? choga
SuperHb JF-Expert Member Joined Mar 21, 2016 Posts 1,020 Reaction score 1,057 Dec 29, 2017 #23 The End.. said: soma IT kabisa achana na ICT haina ishu.. au kama unataka ICT basi piga ICT WITH EDUCATION ila ikisimama yenyewe.. unapoteza muda tu! Click to expand... 1.Mkuu mbona sioni tofauti ya IT na ICT?...maana kilichokosekana kweny IT ni communication...Huoni kuwa ICT ndo bora zaidi? 2.Je na hiyo ICT with EDUCATION...hiyo education unakuwa mwalimu wa ICT hiyo au unafundindishwa kozi kama walimu wa kawaida?
The End.. said: soma IT kabisa achana na ICT haina ishu.. au kama unataka ICT basi piga ICT WITH EDUCATION ila ikisimama yenyewe.. unapoteza muda tu! Click to expand... 1.Mkuu mbona sioni tofauti ya IT na ICT?...maana kilichokosekana kweny IT ni communication...Huoni kuwa ICT ndo bora zaidi? 2.Je na hiyo ICT with EDUCATION...hiyo education unakuwa mwalimu wa ICT hiyo au unafundindishwa kozi kama walimu wa kawaida?