kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,849
- 3,066
wakuu habari zenu naomba msaada kuhusu contact kwenye simu yangu ya itei smart phone yaani inatatizo la kupotea na inachelewa kurudi mfano nikitaka kumtumia mtu sms au kupiga nikiingia kwenye contact nakuta bado haijaloading inakaa muda mrefu masaa matatu,kwa upande mwingine simu haina tatizo tatizo ni contact nikizima nikiwasha inapotea hairudi sms zinabaki namba tu hazina majina masaa matatu,nashindwa hata kuwapigia watu