Msaada kuhusu condom

Sefu jafary

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
382
258
Ni matumaini yangu kuwa muwazima,leo ningependa kujua hizi condom ikiwezekana iwe faida kwa wengine ambao wanajua kila condom huzuia maambukizi ya VVU. Ni hivi nimejaribu kufuatilia nikagundua kuna condom ambazo hazina uwezo wa kuzuia Passage ya VVU wakati wa ku do sex na zile ambazo zina uwezo wa kuzuia maambukizi ya VVU.Shida ni kwamba sijui ni condom zip zinahusika na kuzuia mimba,tofauti nilivyokuwa najua mwanzo kwamba kila condom inazuia maambukizi ya VVU.
Kama kuna mwenye ukweli kuusu hili anakaribishwa sana mezani.Mwisho wa hii Discussion ningependa kujua kwa majina au kwa rangi condom ambazo zinahusika kuzuia mimba tu na si vinginevyo.
Nawasilisha maada mezani.
By..........................................................
 
By reading different books and online materials, but all of them they talking something similar about condom.This means that all info from both sources propose this fact.
 
Back
Top Bottom