Kwanza hakuna flash 'nzuri', pili flash unapakua bure.
Sina hakika kama unazumngumzia standalone flsh player au ile ambayo inkuwa embedded kwenye browser yako. Kama ni hii ya pili basi hakikisha unapakua ambyo ni latest nayo ni v. 10.3.183.5.
Make Google/Bing your trusted fiends!