MSAADA KUHUSU CODES ZA MULTISELECTED TCU

MSAADA KUHUSU CODES ZA MULTISELECTED TCU

Stimavoltage

Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
16
Reaction score
8
Naomba kwa anayeFahamu Deadline ya kuthibitisha (confirm) Chuo utakacho kwenda...
Pia naomba nifahamishwe namna ya kupata CODE hizi kwa haraka zaidi 🙏🙏🙏🙏

natanguliza Shukran
 
1) Tar 28 mwisho

2)nazani kuna option ya ku request code ukiingia kwenye account yako
 
Angalia email yako pia..uliyo weka kwenye account yako.. sio lazima utumiwe SMS kuna wengne wana tumiwa kwa Email kama mimi..wame nitumia kwenye email
Hata hawatumi TCU sijui tatizo nn
 
Back
Top Bottom