Andrew Sosipeter Senior Member Joined May 29, 2016 Posts 189 Reaction score 33 May 29, 2016 #1 Naombeni kwa anaye kufahamu hiki chuo anipe ufafanuzi, Je? kipo jirani na UDSM na veep kuhusu taaluma kinafaa kuchukua DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION kwa mtu mwenye Division III
Naombeni kwa anaye kufahamu hiki chuo anipe ufafanuzi, Je? kipo jirani na UDSM na veep kuhusu taaluma kinafaa kuchukua DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION kwa mtu mwenye Division III
mwenye shamba JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,028 Reaction score 1,892 May 30, 2016 #2 Kipo kibamba chama kama unaelekea mloganzila
mwenye shamba JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,028 Reaction score 1,892 May 30, 2016 #3 Kwa sasa kaka mhhhh.ila katest but enzi zetu kilikuwa poa sana
mwenye shamba JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,028 Reaction score 1,892 May 30, 2016 #4 Enzi hizo kiliitwa kibamba teaches' college
Andrew Sosipeter Senior Member Joined May 29, 2016 Posts 189 Reaction score 33 May 30, 2016 Thread starter #5 Pow pow
Andrew Sosipeter Senior Member Joined May 29, 2016 Posts 189 Reaction score 33 May 30, 2016 Thread starter #6 mwenye shamba said: Enzi hizo kiliitwa kibamba teaches' college Click to expand... Sihitaji ije iwe kama UDOM naomba kama una uelewa kuhusu hicho chuo uniambie
mwenye shamba said: Enzi hizo kiliitwa kibamba teaches' college Click to expand... Sihitaji ije iwe kama UDOM naomba kama una uelewa kuhusu hicho chuo uniambie
Andrew Sosipeter Senior Member Joined May 29, 2016 Posts 189 Reaction score 33 Jul 6, 2016 Thread starter #7 mwenye shamba said: Enzi hizo kiliitwa kibamba teaches' college Click to expand... Ni private au government
mwenye shamba said: Enzi hizo kiliitwa kibamba teaches' college Click to expand... Ni private au government
mwenye shamba JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,028 Reaction score 1,892 Jul 6, 2016 #8 Private
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,882 Reaction score 13,936 Jul 7, 2016 #9 Google kama hakipo huko kitose au nenda www.nacte. go.tz kuna, registered collage zote za tz utaona kama kipo
Google kama hakipo huko kitose au nenda www.nacte. go.tz kuna, registered collage zote za tz utaona kama kipo